Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ewaaa
Nilimiss hilo swali Jamaaaniii
Ewaaa
Ucsahau kutuwekea link
Hujui utani mdogo wangu Jamaaaniii.... Sasa msamaha wa niniNimefanyaje jaman nimewaomba msamaha kwa kukosea au dada imekuwaje tena
Oyoo....
Mume wangu mieee usipende Mambo ya Uzi.... Yale mapm ni nyuzi tanoo



HahahaSiku hizi ukifanya uchochezi unapelekwa kwa mkemia tuu..
Utasikia tunakupima kamasi lako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana dada ilikuwa lazima niombe msamaha jaman ebu tuachane nayo tuHujui utani mdogo wangu Jamaaaniii.... Sasa msamaha wa nini
Eeeeh...Jamaan we Baba D khaaa masikini ya Mungu Daah kumbe ni yule kaka Mungu wangu anatuitaga dada me na sakayo halaf tulionana nae kwenye ule uzi niliomwandikia sakayo akasema mnapendana wala hajawai hata kuongea mambo ya kutongoza
Naelewa shemela, kila kitu ukiacha kutumia huwa kina madhara kwenye mwili,mpaka mwili uweze kusahau hiyo haliShemela nimeacha hizo mambo nimeokoka
Ni kweli mke mwee![]()
![]()
kasoro Shunie ye ana moyo wa nchi zingine hko
Sawa mamyHapana dada ilikuwa lazima niombe msamaha jaman ebu tuachane nayo tu
Inawezekana T
Ukimaanisha shemelaNaelewa shemela, kila kitu ukiacha kutumia huwa kina madhara kwenye mwili,mpaka mwili uweze kusahau hiyo hali