Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Eeh! Jana ilikuwaje kwani?Huyu nimemsaidiaa wiki nzima jana ndo usisemee alafu kukuonaa kanifanyia ya punda
Nafikiri hujamwelewa.... Lee yuko na mieee na nshaelewa mbonaBaba D nakuheshimu sana tena sana sina mwanaume humu wa kipindi kile sijawahi kutembea na mtu humu najiamini na ninaongea ninachokiamini usinitafutie sababu
Anamaanisha huyo mkaka niliekwambia kaja kutusalimia dadaNafikiri hujamwelewa.... Lee yuko na mieee na nshaelewa mbona
Sawa mke mweee me kwenye kipengele cha kupambana na hali yngu nko vizuriSafi mama jj za wewe ninayo episode ya 8kila mtu apambane na hali yake msubilini mbududa akipenda ndio aweke
Wala sio maskini ya MunguAnamaanisha huyo mkaka niliekwambia kaja kutusalimia dada
Kweli dada soma vizuri ujueWala sio maskini ya Mungu
Tumuombe mukongo akatuletee mama jamani me nmemmicMama bado mke mwee
Wewe na naniMbaya wetuuu
Lala tu shemelaHivi umemuelewa au unajibu tu naona natafutiwa sababu acha nilale aisee
Sio Shunie... Mie nimemwelewaKweli dada soma vizuri ujue
Kwanza hujaelewaaa ...namanisha sakayo waliotaka kumtembeleaaBaba D nakuheshimu sana tena sana sina mwanaume humu wa kipindi kile sijawahi kutembea na mtu humu najiamini na ninaongea ninachokiamini usinitafutie sababu
Hongera leo naona umechangamka jana kdogo tukupeleke icuTumoo
Hahaha
Umeonaa pm
Shemeji sakayo za sikuNimejibu tuu mie
Hebu Shangaa na weweKwanza hujaelewaaa ...namanisha sakayo waliotaka kumtembeleaa