Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
MmmhWa humu nawajuaaa wakiona wenzaoo baby baby roho juuu
Make wengine wana wazeee wanatamani motomoto kama mond
Weeeee mondray usimtesaaa mrembo wetuu
MmmhWa humu nawajuaaa wakiona wenzaoo baby baby roho juuu
Make wengine wana wazeee wanatamani motomoto kama mond
Weeeee mondray usimtesaaa mrembo wetuu
Hivi umemuelewa au unajibu tu naona natafutiwa sababu acha nilale aiseeWamekoma
HahahaSijuii jina kalitoa wapiii
Umeonaee eeehhAta miaka 100 yanafukuliwaa
Heri amkumbukaye mnyonge, Bwana atamwokoa siku ya taabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, naye atafanikiwa katika nchi, wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake![]()
ZABURI:41:1:2
Mbarikiwe muwe na mchana ulio mwema kwenu![]()

T wangu ukuje tuuKwani waofia nn funguaa uziii trna tena mmu
ShikamoNafurahi kusikia hivyo mjukuu wangu
AiseeeeBado unacheza kombolela
Sawa mama..Nilikumiss tuu ujue... Mpaka appetite ikapoteaa
Yupo kumjaza maneno mgeniBaba yameisha basi khaa sikuelewi ujue
Nimejibu tuu mieHivi umemuelewa au unajibu tu naona natafutiwa sababu acha nilale aisee
Sakayo ana moyo wa kihindi kwa taarifa yako sasa..Wewe hapo ....
Hivi unajua sakayo ana moyo wa kijeruman au
Marahaba Mjukuu mweeShikamo
Wa kipindiii kileeeHivi umemuelewa au unajibu tu naona natafutiwa sababu acha nilale aisee
Your warmly welcome my dear
![]()
![]()
watu preshaa zilikuwa juu unataka kuzipaishaaa sasa



Baba D nakuheshimu sana tena sana sina mwanaume humu wa kipindi kile sijawahi kutembea na mtu humu najiamini na ninaongea ninachokiamini usinitafutie sababuWa kipindiii kileee
HayaNimejibu tuu mie