mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Wasiwasi wangu ni kwamba hii ndoto umeiota unatembeaHizi ndoto nyingine ni balaa.

Wasiwasi wangu ni kwamba hii ndoto umeiota unatembeaHizi ndoto nyingine ni balaa.

Basi afande atakuja tu.Kete moja tu
Utakuta koba ni lawama kuliko Lizzie mwenyewe.....Hili koba lawama asee
Hilo koba kama la mpiga mazingaombweHili koba lawama asee
Aje sasa hiviBasi afande atakuja tu.
Na akilipakata awe na uhakika lisimguse mtu maana litaleta hisia za ajaabuuHilo koba kama la mpiga mazingaombwe
Mkuu nilikuwa nimelala ndo nimeamka muda si mrefu.Wasiwasi wangu ni kwamba hii ndoto umeiota unatembea![]()
![]()
Utakuta koba ni lawama kuliko Lizzie mwenyewe.....
Hahaha.
majukum!?Youngblood hebu mtambulishe huyu mgeni ni ke au me, tumpangie majukumu naona hayuko free sana
Nitajal, sababu?Mkuu hebu jitambulishe ni ke au me kama hutajali
Hahaha.Hawezi kulipakata
Hahaaa mbona lipo super sanaAu la mganga wa kienyeji![]()
![]()
SeenNimemuacha rasmi kuanzia sasa.
Sitaki tena kuulizwa maswala ya huyu mwanamke.
**________It's over_____*
Za kutufanya kama watotoyoungblood ana tabia mbaya sana.
Mkuu bora umerudi,nilisikia ulikuwa unanitafuta kwa hamu kubwa kabisa.Nitajal, sababu?
Naomba hii uweke kwenye vitabu vya kumbukumbu.Seen
Aisee.Za kutufanya kama watoto
Mpaka sasa hivi bado yupo tuNi kweli kabisa usemayo
Huyu youngblood ndo zake hizo