Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu usiongeze umaarufu kwa ajili ya kupambana na mmiminiwa mafuta kichwani...watapigana sana lakini hawatashindaaMtumishi nilishasema anahitaji maombi sana ...
Mkuu usiongeze umaarufu kwa ajili ya kupambana na mmiminiwa mafuta kichwani...watapigana sana lakini hawatashindaaMtumishi nilishasema anahitaji maombi sana ...
Utaota upele bure, hilo jina ndo nalisikia kwako, kwanza vifaa vyetu vikali kushinda vyenuMtumishi jambilo amepungukiwa na wokovu hahahaa....
Hasa anaposaidiana na youngblood kuwaita mashemeji zao 'shemdarling'.
![]()
![]()
![]()
Heeeee tena!Can't wait.. uko wap youngblood
Kuwa na amani Mtumish ama vita vyako vimegeuka kuwa vya kimwili....Mkuu usiongeze umaarufu kwa ajili ya kupambana na mmiminiwa mafuta kichwani...watapigana sana lakini hawatashindaa
Nimekupa angalizo usije pata ukoma kama miriamKuwa na amani Mtumish ama vita vyako vimegeuka kuwa vya kimwili....
Mkuu hebu jitambulishe ni ke au me kama hutajaliNimemis likes
Itakuwa hivyo kwa wale wasio amini..: “Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.Nimekupa angalizo usije pata ukoma kama miriam
Salama mdada, habari ya jioni!Habari zenu makapuku wenzangu
Kivipi vikali.Utaota upele bure, hilo jina ndo nalisikia kwako, kwanza vifaa vyetu vikali kushinda vyenu
Kuna nini tena?Can't wait.. uko wap youngblood
Mkuu, unataka uimbishe ninii?Mkuu hebu jitambulishe ni ke au me kama hutajali
Hapana cina wimbo juu yake, nataka kumpangia majukumuSalama mdada, habari ya jioni!
Mkuu, unataka uimbishe ninii?
Nimerudi mkuu.Can't wait.. uko wap youngblood
Alikuwa ananisubiri nimerudii sasa.Kuna nini tena?
Kila dhambi lazima iadhibiweItakuwa hivyo kwa wale wasio amini..: “Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Youngblood hebu mtambulishe huyu mgeni ni ke au me, tumpangie majukumu naona hayuko free sanaAisee huu wimbo mpya wa Baraka da Prince utafikiri ameniimbia mimi.