yaani hata sasa sijamuelewa maana kama ni Mkushi wa kusi hawezi yeye hana muda wa kwenda hadi morogoro, wakati mwingine nakuwa namfikiria Mondray ndo anahusika
shululu asante kwa magazeti, yanatufanya tuhabarike sawia.
Shukrani lee empire kwa hadithi na UF
Asante Shunie kwa sala na asante husna muba kwa hadithi
2012 - Michael Phelps ambaye ni muogeleaji anavunja rekodi ya kushinda medali nyingi kwenye michuano ya Olimpiki baada ya kushinda jumla ya medali 22 kwa kushiriki michuano mitatu ya Olimpiki ambayo ni ya mwaka 2004, 2008 na 2012.