...yaani mtu mzuri kwako humu ni mimi tu. Huyo baba D mimi nilikuwa najua tangu siku nyingi ndo maana nikakushauri uniruhusu niende BOT nikaweke tangazo kwenye noti ya buku ten , sasahivi asingekuwa mbaya wako tena
...najua aunt, ndo maana kwenye list yeye ni namba moja, yaani kashika namba moja hadi ya tatu, na isingekuwa mambo ya Arsenal hata ya nne angeshika yeye