KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Jamaa anashangilia goal kickNgapi mkuu.
Jamaa anashangilia goal kickNgapi mkuu.
Hahahaha.Jamaa anashangilia goal kick
Hahahaa... Njoo pm madam nkwambie.Kuna swali amekusogezea hapo juu eti unijibu
Bado kidogo tuUsiwaze.
Hapa ndio pazuri,hali ya hewa safi. Huko pm jotoHahahaa... Njoo pm madam nkwambie.
Ndiyo bro.Bado kidogo tu
Niko makini sanaNdiyo bro.
Usicheze mbali.
Karibu.Humu ndani
Ugunduzi mwingine ni shiiidaHhahaha.
Watu walikuwa wanatafuta papai ambalo limeiva au linakaribia kuiva,then linawekwa juani ili lipate moto kidogo.
Baada ya hapo watu wanafanya mambo yao.
Kama hujaelewa usiulize tena.
*Ugunduzi si lazima ugundue ndege.*
Hapa ndio pazuri,hali ya hewa safi. Huko pm joto
Ha haaa hakuna cha takrima wala mbembelezo wowote. Na ole wako usemeNaangalia tu! Uandae kabisa takrima ya kunibembeleza ili nipokee rushwa nisikusemee kwa kaka!
Hahahaha.Ugunduzi mwingine ni shiiida
Ni kweli kabisa, ukiwa na shida lazima ushughulishe akili yakoHahahaha.
Unajua ukiwa na shida ya kitu lazima utafute alternatives.
Yeah jamaa wapo siriaz sana na life![]()
Sisi wengine tunafanya maigizo ya maisha.
Sana mkuu.Yeah jamaa wapo siriaz sana na life
Hausemagi hata mimi!?Bro leo nakuachia utupie ya 25k.