Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
PoaNiajeee
.......
PoaNiajeee
Mkeka wangu ulichanwa mapemaaa na livafoolila mechi za leo zimekaa kimitego sana
Amezoea kuambiwa akaoshwe njia panda huyu
Leo naona wenyewe wanakaba mpaka penalty.Ha haahah umemsaidia nan tena mkuu????
Pamoja sana.Tumevumilia vya kutosha mkuu
Hahaha... sijui njiapanda huwa kuna nini hadi wakaoshewe pale.Amezoea kuambiwa akaoshwe njia panda huyu
Nawe wataka kuikimbia!Pamoja sana.
Hongera braza.Nimekuhujumu
Imekula kwako na wewe term hii.Umenihujumu mkuu.
25000
Umetupia.
Pasta......Amezoea kuambiwa akaoshwe njia panda huyu
Alete jibu hapaHahaha... sijui njiapanda huwa kuna nini hadi wakaoshewe pale.
Sumbai shemasi, sema mkuuPasta......
youngblood yupo kama mwanamke, ukimdanganya na anajua ni kweli.nikisema kweli ndo nakuwa fake!
Mrembo! Mumeo hajambo lakini?Mpaka ajute
Mkuu hivi fungu LA kumi lipo???Sumbai shemasi, sema mkuu
Hahaha, kweli ke wanapenda kudanganywa ukiwaambia kweli pendo lapunguayoungblood yupo kama mwanamke, ukimdanganya na anajua ni kweli.