...nina mapengo, labda nitafuniwe kwanza ndo naweza kunywa , itafunwe halafu ipozwe. Na toothpick isisahauliwe, maana unaweza kuanza kuinywa kumbe kuna vilevivuzivuzi havikusafishwa vizuri.
Supu ya kongolo ni nzuri sana ila isafishwe vizuri vile vimanyoya (vivuzivuzi)huwa vinakera