Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mama ashura anavyo

...mpenzi wangu ambaye ni mpendwa wangu wa nguvu. Ni wewe ndo unanifanya nipumue, yaani ukiandika machache nahisi kama unanikumbatia na kunifanya niwe kamili na ukiandika mengi najiona niko kando ya mto natizama maji yakitiririka na kuupoza moyo wangu.

Usimsikilize aunt yangu, mambo ya mama Ashura yanamuhusu mumewe. Mimi na wewe tu
 
Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye

Unitegee sikio lako, uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa

Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunguze

ZABURI:31:1:3

Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu kristo

Tunashukuru sana kwa neno mtumishi. Tunabarikiwa nawe
 
.....mpendwa wangu ni exceptional case yaani yake ni tofauti na utofauti huo ndo naoupenda, na analijua hilo.

Halafu umejuaje hayo kuwa ni magumu? Sidiria hazina waya tena zinawekwa nondo za kusimamishia nguzo, ugumu lazima uonekane
Ahahha binamu sijamaanisha ugumu huo wa nyonyo yaan unapenda vitu vigumu kama zile za kiunoni sijui unaziita nini leo manyonyo makubwa woiiiii
 
4/Juliet Ibrahim
8958fedfdd217c7c40a700e50ca4170c.jpg
]
1362563a4175a03e3a6aa135ad2647d8.jpg
f3566c98135922953035cd4dcde06ec8.jpg
Alizaliwa Machi 3 mwaka 1986 huko kwa akina Michael Essien na Andre Ayew
Huyu ni binti wa Kighana anayeonekana zaidi kwenye muvi za Kinigeria
Ameigiza kwenye
4 Play,..
30 Days In Atlanta

Na filamu zingine kemkem
Ana madili kibao ya kueleweka hivyo siyo kama yule staa wa bongo anayeazima hadi nguo za ndani

.........
Mcute
 
...mpenzi wangu ambaye ni mpendwa wangu wa nguvu. Ni wewe ndo unanifanya nipumue, yaani ukiandika machache nahisi kama unanikumbatia na kunifanya niwe kamili na ukiandika mengi najiona niko kando ya mto natizama maji yakitiririka na kuupoza moyo wangu.

Usimsikilize aunt yangu, mambo ya mama Ashura yanamuhusu mumewe. Mimi na wewe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom