Makapuku Forum

[HASHTAG]#Kitaifa[/HASHTAG]
Harbinder Seth na Rugemarila wamefikishwa Mahakamani tena leo.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi apewe matibabu kutokana na matatizo ya kiafya yanayomkabili.

Hayo yameelezwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya Seth kudai anahitaji kuwa na nguvu ambayo haitopatikana kama Afya yake itakuwa dhaifu, hivyo ameomba apatiwe matibabu.

Mahakama imetoa kibali ili mshtakiwa huyo apate matibabu na keshi imeahirishwa hadi August 3, 2017 kwa ajili ya kutajwa.
 
Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Jeff Bezos ndiye tajiri namba moja duniani kwasasa, akiwa na utajiri wa dola bilioni 90 akimzidi Bill Gates mwenye dola bilioni 89.8

 

Sina la ziada katika michezo tukutane baadae kwenye matokeo.

Ibiza kwa wapendanao wekeni booking mkafurahie maisha huko Ibiza beaches.

Mpendwa wa mtaasisi tulime AL ajapitra ili tupate pesa ndefu ya kwenda kufurahia huko maisha na wapendwa wetu.
 
Shukrani mkuu

Ndio iko wapi hiyo beach?
 
Ahsante mdau
Ni nzuri
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…