Makapuku Forum

Ahsante mdau
Nikutakiecsiku njema
....
 
Nawaza kuwa lile neno la ulinzi ndio linatimia au naota

BTW muwe na wakati mwema

Wale wakukazana waendelee
Wale wa kususa waendelee
Wale wa kujitoa in public waendelee
************Nitamalizia***********
Nafikiri juzi hukuwepo
Tulikibaliana kutopiga umbea wala majungu
Yaani kumzungumzia mtu/watu fulani wala thread fulani badala yake tunafanya yanayotuhusu ili kuepusha kukwaza watu maana maisha yenyewe mafupi
Pia tutaonekana hatuna azi za kufanya

Tupambane na ali zetu
Nikutakie siku njema
.........
 
Leo katika Historia

1868 - Marekani yafanya marekebisho kwenye katiba yake na kuruhusu kuwatambua watu weusi kama Raia wa nchi hiyo.

Ila weusi wakaendelea kunyanyasika tu
Ilipofika karne ya 21 ndo Rais mweusi wa kwanza akachaguliwa(Obama) hivyo maono ya Martin Luther King Jr yakatimia I have a dream
.......
 
Leo katika Historia

1914 - Austria- Hungary yatangaza vita dhidi ya Serbia.
Hii ilisababisha kuelekea kwa kuanza kwa vita kuu ya kwanza ya Dunia.

Vita ikapigwa hadi Novema 11 mwaka 1918
Austria--Hungary akashindwa vita pamoja na Wajerumani na Warusi
Mikataba kibao ya amani ilisainiwa mfano Treaty Of Versailles
Baada ya vita kuisha ukawa ndo mwanzo wa kuanzisha League of Nations ambao siku za mbeleni ukawa Umoja wa Mataifa
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…