Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nimekumis aunt ila muhimu uzimaNakupungia mkono ankalimaana sio kwa kukumiss huku

Muziki: Wema na Ubaya, Cha Pili Kiache
Muda unakimbia sana Makapuku waheshimika, nani alijua kesho itakuwa ni Ijumaa! Ukisoma kiumakini utagundua kuwa sijauliza swali ila tu nimekuja kukusalimia wewe, yeah, wewe hapo unayenisoma muda huu. Pokea heshima nyingi sana usiku huu maana unastahili na stahili hii ni kwa sababu wewe unaunda timu inayoifanya KF iwe mahala pa kuvutia bila kutolewa mahari. Asante sana kwa kuwepo hapa.
Hivi kuna sababu yoyote ya kutofanya jambo zuri kwa mtu usiyefahamiana naye? Usiniambie kuwa dini zimetufundisha kuwa wema maana dini zetu hizi zina mazongo kibao, so weka pembeni jibu la dini yako jibu wewe kama wewe. Binafsi ninajiaminisha ukiwa mstaarabu (civility) huhitaji uijue dini ndo utende wema na uuchukie ubaya. Kuna bangi na bangili, hiyo ya kwanza inatibu sikio. Chukua hilo maana kubadilika ni tabia ya kila kiumbe hai. Hulazimishwi kubadilika, baki hivyo hivyo kama mother nature itakuruhusu.
Asanteni sana wadau mliotuamsha kwa magazeti, sala, BBC, kubwa 10, sogozi za mchana, michezo na zaidi asante kwa wageni waliotembelea hapa. Usijiulize mbona ninakaribisha sana kwani mimi ni nani hapa, mbona najidai kujua sana, well, la kwanza, mimi ni kama wewe tu, bando langu na kutaka kupata maarifa kwa kuwa hapa kunanifanya nije hapa na kuwaona wengine wakiwa hapa basi nawiwa kuwashukur maana maarifa yanaongezeka.
Muziki sasa, huwa nikimsikiliza nakumbuka mengi sana, mazuri na yenye utata ulionifanya nijiulize je hili nililolifanya (enzi hizo) ni sahihi. Hizi safari ziache tu na wengine tukiendaga ugenini lodging zina mapepo hatulali peke yetu, you know warra am saing'i. Ndivyo inavyokuwa na ndo unasema a blessing in disguise. Anaitwa Jose Chameleon, ana udokta wa heshima huyu kwa namna anavyotumia mali zake kusaidia wahitaji wanaomzunguka.
Burudika mdau
Baby nimekumisBinamu asante jamaan naomba nichague nyimbo binamu yangu![]()
Nyingine soweto baby ya runtownAsante binamu yangu ndio mana nakupenda ya kwanza inaitwa bambi ya kwake jidenna ya pili mad over you ya runtown nakupenda binamu yangu
Tunaendelea vizuri, wenzao wanaendeleajeSafi tu baba jj jaman mnaendeleaje na watoto na mama yao
KaribuuDuh watu huku kama ndugu vil .Well jf
Uko sahihiNimekumis aunt ila muhimu uzima
Asante1/Ashley & Mary--Kate Olsen
![]()
![]()
![]()
Walizaliwa Juni 13 mwaka 1986 nchini Marekani
Hawa umaarufu wao inatokana na pesa walizonazo.....hawajafikisha hata miaka 35 lakini wana mkwanja mrefu wa kuweza kuwahonga hadi Sizonje na Bashite waamue kuuza nchi nzima ya Bongo na kutuacha wananchi tukipiga miayo
Wanatajwa kuwa wanawake matajiri # 10 duniani
Pia pengine ndo mapacha wenye mpunga mrefu zaidi duniani
Utajiri wao ni zaidi ya USD milioni 300
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Muziki: Wema na Ubaya, Cha Pili Kiache
Muda unakimbia sana Makapuku waheshimika, nani alijua kesho itakuwa ni Ijumaa! Ukisoma kiumakini utagundua kuwa sijauliza swali ila tu nimekuja kukusalimia wewe, yeah, wewe hapo unayenisoma muda huu. Pokea heshima nyingi sana usiku huu maana unastahili na stahili hii ni kwa sababu wewe unaunda timu inayoifanya KF iwe mahala pa kuvutia bila kutolewa mahari. Asante sana kwa kuwepo hapa.
Hivi kuna sababu yoyote ya kutofanya jambo zuri kwa mtu usiyefahamiana naye? Usiniambie kuwa dini zimetufundisha kuwa wema maana dini zetu hizi zina mazongo kibao, so weka pembeni jibu la dini yako jibu wewe kama wewe. Binafsi ninajiaminisha ukiwa mstaarabu (civility) huhitaji uijue dini ndo utende wema na uuchukie ubaya. Kuna bangi na bangili, hiyo ya kwanza inatibu sikio. Chukua hilo maana kubadilika ni tabia ya kila kiumbe hai. Hulazimishwi kubadilika, baki hivyo hivyo kama mother nature itakuruhusu.
Asanteni sana wadau mliotuamsha kwa magazeti, sala, BBC, kubwa 10, sogozi za mchana, michezo na zaidi asante kwa wageni waliotembelea hapa. Usijiulize mbona ninakaribisha sana kwani mimi ni nani hapa, mbona najidai kujua sana, well, la kwanza, mimi ni kama wewe tu, bando langu na kutaka kupata maarifa kwa kuwa hapa kunanifanya nije hapa na kuwaona wengine wakiwa hapa basi nawiwa kuwashukur maana maarifa yanaongezeka.
Muziki sasa, huwa nikimsikiliza nakumbuka mengi sana, mazuri na yenye utata ulionifanya nijiulize je hili nililolifanya (enzi hizo) ni sahihi. Hizi safari ziache tu na wengine tukiendaga ugenini lodging zina mapepo hatulali peke yetu, you know warra am saing'i. Ndivyo inavyokuwa na ndo unasema a blessing in disguise. Anaitwa Jose Chameleon, ana udokta wa heshima huyu kwa namna anavyotumia mali zake kusaidia wahitaji wanaomzunguka.
Burudika mdau
Nyingine soweto baby ya runtown
Binamu heshima kwakooo.......yaani wewe nyimbo zako ni za kumuudhi tu aunt yangu. Sasa hii inaitwa 'divorce you' hujui aunt yangu ana moyo
Muziki wa Wadhamini
Kuna muziki na wanamuziki ukiambiwa wapo unaweza bisha lakini ukisikilizishwa nyimbo zao basi utagundua kuwa hujui mengi. Ndo inavyotokea kwangu na hii ni sababu tosha kabisa ya kuwa hapa na kama Fid Q anavyosema, usijue mengi bali jifunze mengi. Asante Shunie kwa wimbo wa Jidenna uitwao Bambi. Ni mzuri na japo jamaa ni kutoka US of A lakini anachanganya mipigo fulani hivi ya Kinaijeria na utapenda muziki wake. Chaguo la kwanza hilo, kumbuka yapo mawili

asante binamu yangu unaufanya usiku wangu uwe mzuri sana Mungu azidi kukuweka uendelee kutuburudisha
Me zaidi Baba D wanguBaby nimekumis

Binamu umesikia ongezea soweto baby ya runtown aliyochagua Baba DNyingine soweto baby ya runtown
Sio wenzao shemela ni mwenzao hatuna mapacha sie kama nyie jaman D hajambo sanaTunaendelea vizuri, wenzao wanaendeleaje
Karibuu