Me more my lovemic u
Duh
Chat chat chat
2-0Munich kachezea kipigo
Hapo huwa panaleta shida sanaWekeni TV mbuli
Mimi demu mpenda tamthiliya huwa sielewani nae kabisa
KaTv kenyewe kamoja
......
Hizi game mbona sizioni kupitia DSTV?Kila mtu na mnyonge wake
....
Wamefungwa bhana
Mbona Barca alipigwa 5 na PSG UCL
Tuache visingizio kwamba ni mechi ya kirafiki
.....
Eder huyo
Haswa matamthiliya yao ya KikoreaHapo huwa panaleta shida sana
Mimi naagaliaga kwa kutumia simu OnlineHizi game mbona sizioni kupitia DSTV?
Na Philippines /VenezuelaHaswa matamthiliya yao ya Kikorea
....
NitafuatiliaMimi naagaliaga kwa kutumia simu Online
Ila Champions Cup Startimes nasikia wanaoneshaga
......
AsanteTOP TEN
Ni siku nyingine iliyopooza ....Waswahili husema sio kila siku ni Jumatatu wakimaanisha siku hazilingani pia wiki,miezi au miaka hailingani inatofautiana kwa matukio hivyo basi sio kesi
Kwa Bongo mapacha maarufu ni Maria na Consolata na kwa Nigeria huko nafikiri ni Okore Brothers(P Square)
Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida
Karibuni
................