shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Vip shemela mbona unacheka
Vip shemela mbona unacheka
Binamu huyoShemela ukimaamisha jamaan
Timu yake Captain ni Husna MubbVip shemela mbona unacheka
shemela hilo jibu la mondray ndio limenichekesha sana
Ahahha binamu yetuBinamu huyo
Upo sahihi
Kila nmoja ana umuhimu
Nilizungumzia watu wa mambo ya Intelejensia kama jamaa(Elyer) ndo wapo wachache ndo maana michango ya aina hiyo ipo michache
.......
Sawa mdauSwadakta mdau, inawezekana nilielewa tofauti.
Michango ya member wa hapa haiji tu kwa kuwa mtu anataka kuandika, au aonekane kaandika.
Hata sentensi moja inayoeleweka ikiandikwa hapa hutokana na mtu kupata maarifa fulani na kisha kuyatumia kupitia ujuzi ili mwingine aelewe.
Hakuna kipya kinachoandikwa sasa, tunakuja na njia rahisi tu ya kueleweshana. Ndiyo maana unapoweka UF au zile kumi bora nia ni kufikisha maarifa kwa mwingine ambaye naye anagawa maarifa kwa namna yake. Hii ndiyo intelijensia.
Unapoandika kitu kieleweke lazima ufikiri (tasking the brain-reasoning) na hii ndo intelligence.
Umeongea vyema hope kiroba bado hujaongezeaa kutoka mafichoni
Muhimu kwanza tuheshimu chetu/vyetu kwanza ....
Yaani huamini kabisa kama maneno hayo yametoka kwangu. Duh, unanionaga mtu wa bange bange tu eeh, ilhali shululu anayezivuta kweli ndo unamuana mtulivu sana😀😀




binamu usitake kunigombanisha na shemela wangu ujue hayo maneno umeongea wewe kuhusu shemela shululuNa mie naomba niingizwe jaman kwenye hiyo timu ya binamu
Basi hakuna namna anko wako aniingize tu mie na ninavyopenda skirt fupi itakuwa vizuriJamani, mimi sina timu! mimi napenda netball tu ndo naendaga kushangilia. Mwenye timu ni anko wangu akishirikiana na mtaasisi
Binamu obe naruhisiwa kuchagua nyimbo
Basi hakuna namna anko wako aniingize tu mie na ninavyopenda skirt fupi itakuwa vizuri
Kanidedicate nyimbo inaitwaje binamu naomba urudie nizoee nini etiChagua aunt maana anko tayri ukurasa wa mwanzo juu alikudedicatia wimbo unaitwa 'zoea ukewenza' kaimba mbaraka mwinshehe. Nimemgomea
Mie nataka kuja kucheza ye si ndio mwenye team itakua rahisi kuniingiza...yeah, karibu tuangalie netball! Sema anko hatakuwepo maana anapenda sketi fupi na mvaaji asivae skintait. Anko bhana
Kanidedicate nyimbo inaitwaje binamu naomba urudie nizoee nini eti
Muziki: Unapendeza Ukiwa Hapa
Siku inaelekea kuisha na unajua kabisa ulikuwa na mchana wa namna gani leo. Naamini umepangilia vema namna kesho itakavyokuwa, usikonde Kapuku muheshimika, kwanza nakusalimia na kisha nasema kesho jua litawaka tena. Siku ngumu huashiria mwisho mzuri, hujachelewa.
Unajua nini mdau wa KF, huwa mara zote nashukuru na napenda kuacknowledge wote wanaochangia hapa kwa majina, wakati mwingine huwa ni ngumu, nasahau na hii haimaanishi mchango wako haujaonekana. KF kuwepo hadi kufikia ilipo leo, yes wapo waasisi walioiweka hapa, heshima kwao. Lakini jua kitu kimoja kama kiongozi lazima awe na wafuasi ambao hawajioni tofauti na kiongozi (hii ni dhana ya utawala wa kibiashara-FYI). Maarifa tunayoyapata hapa ni makubwa sana, yeah, makubwa na hayakuzuii au kutuzuia kuyasaka maarifa mahala pengine. Inasemwa mtafute elimu hadi uajemi/uchina.
Muziki sasa, leo tumwangalie Mopao, msomi mwenye shahada ya uzamili na alijikita kwenye hesabu, tunajuana tusiopenda hesabu, ha hahahahaa> natamani kuweka hesabu ya kujumlisha kutoa sijui magazijuto lakini kama sina jibu hata kama umekosea nitaona umepatia.
Burudika mdau maana umuhimu wako hapa ni wa kipekee sana na unapendeza ukiwa hapa
Mie nataka kuja kucheza ye si ndio mwenye team itakua rahisi kuniingiza