Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Bushokeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Bushokeee
Yuko kwa binti NeemaBora uniitie aisee sijui anadhurura wapi huyu mwanaume[emoji30]
Akikujibu unishtueWewe wako ni nani
Nipo bro ...Lee muzee ya ngedere umerudii, Karibu sanaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kulea marioo auNikajua umeamua kuwa kama wolper[emoji38] [emoji38]
Baba D nitake radhi jaman hakuna mwendo kasi wala mwendo taratibuMagari ya mwendo kasiii
Urongoooooi
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hiiiiii jamaniiii binamu wangu si unajua dada alinambia nimtunziee mwanaeeNimekuelewa baba d kwahiyo we ni posta jaman
Duh nimekula hasara wallah[emoji30]Nyageiii haweziiii
Mfungie [emoji3][emoji3][emoji3]Bora uniitie aisee sijui anadhurura wapi huyu mwanaume[emoji30]
Kalala gestMpendwaaa nimekuonaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyageiii haweziiii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itabidi nifanye utaratibu wa kumfungia maana kama sahizi mwanamke niko nyumbani yeye hata haonekani pua[emoji23] [emoji23]
Tuliaa ....Shubaaaaamiiiitiiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jombaaa shusha story banaa
Ngoja nimjengee banda kabisaMfungie [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apatikane kapuku tuNitaongea na Max amfungie hapa asipate ruhusa ya kuzurura
NawaitAkikujibu unishtue
Yule mkongo man[emoji28][emoji15] [emoji15] [emoji15] kulea marioo au
Baba D umeanza ujueYuko kwa binti Neema
Leo katika Historia
1961 - John F. Kennedy Rais wa 35 wa Marekani anatoa hotuba ya kutoa msisitizo kuwa mashambulizi iwapo Berlin itashambuliwa basi wao wanaamini Nato nzima itakuwa imeshambuliwa.
John F. Kennedy alikuja kuuwawa November 22 Mwaka 1963