Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu
Nimeapa nami nitaifikiliza, kuzishika hukumu za haki yako nimeteswa mno

Ee Bwana unihuishe sawasawa na neno lako Ee Bwana uziridhie sadaka za kinywa changu na kunifundisha hukumu zako

Nafsi yangu imo mkononi mwangu daima lakini sheria yako sikuisahau
watendao uovu wamenitegea mtego lakini sikuikosa njia ya mausia yako

Shuhuda zako nimezifanya urithi wa milele maana ndizo changamko la moyo wangu

Nimeuelekeza moyo wangu nizitende amri zako daima naam, hata milele [emoji120]
Zaburi 119:105:11

Mungu azidi kuwabariki muwe na mchana mwema [emoji7]
 
6f80924e778ea6c41a5b1415e4504b6b.jpg

Mtag unayemjua
Aisee
 
Waaaaaaaoooooh my mke asante kwa chakula ya roho
 
Amen
 
Back
Top Bottom