Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1972 - Giovani Elber anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Brazil.
48b8f7e30f36ae41afe9b701cec262d2.jpg
eaa95d4292e7f5ac139775c97ef396e2.jpg

Jina lake halisi ni Elber de Souza
Nafikiri alikuwepo kwenye kikosi kilichopigwa na Man Utd fainali UCL 1999
Kachezea pia AC Milan,Lyon,Vfb Stuttgart,Cruzeiro n.k
......
 
Kila kitu kina positive na negative bro

Mi huyu wala sijaona udikteta wake... Basi tu wanatuaminisha hivyo
Wanagharibi wakiona upo dhidi yao wanakuita Dikteta
Dikteta Mugabe
Dikteta Gaddafi
Dikteta Mussoloni
Dikteta Hitler
Dikteta Pinochet
Dikteta idd Amin
N.k
Ila sijawahi kumsikia Dikteta Mmarekani wala Mwingereza

.......
 
Leo katika Historia

Leo ni siku ya mapinduzi huko Misri.
31fd66be404d04662aa794d4306f390f.jpg
e16cb7441ad1019ead001f9073c6f122.jpg
606df41f476fa5a323746882ab3ebe93.jpg

Mapinduzi yalifanyika jioni ya Julai 1952 yakijulikana kama Free Officers Movement yaani yaliongozwa na moafisa wachache tu wa jeshi
Yaliongozwa na Gamal Abdel Nasser akishirikiana na Mohammad Naguib ambapo waliongoza mapinduzi ya kijeshi na kujinyakulia nchi
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom