Ndo hivyo
Pia mi hata nifahamiane vipi na mtu mambo yetu ya nje ya Jf huishia huko huko na hata apate janga mfano kufariki simwanzishii thread au thread ikiletwa sitasema mambo yoyote kumuhusu hata jina lake halisi wala picha na hata yakitokea magumashi nauchuna tu
Mambo yangu binafsi na mtu yatabaki kuwa binafsi
.......