Ule ni utani tu na tulimwelekeza jinsi ya kutoa signatureMama mchuchu mmesababisha haonekani watu wamemsema na kumcheka na signature ya simu yake na kutoa hawezi kabisa mama alishasema
[emoji23][emoji23][emoji23]Oooh yeah, wahenga tunabembelezana kwa style ya 69 yaani hata kama hujala unajisikia kushiba
Ahahahha hata kamaMajaribio hayo
Maneno ya aliyefungwaMajaribio hayo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Akikujibu niite mke mwee ujue me mwenyewe namshangaa binamu yangu
Kama namuona baba d wangu mie huko alipo chelsea oyeeeeeeeeeee nipo chelsea kwa hisani kubwa ya bae
Bora umeliona mpendwa wa binamuTatizo ni mawazo yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kayapeleka mbali zaidi
Mume wngu jamaniMy swi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahahhah wa koromije atakuwaMwezangu!! Loh! Bora umuulize
Woiiiiiiiiii wewe ndio yupi hapo binamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe wasema kwangu ni kama mguno flan hivi labda masikio mabovu nipate mwenzangu anikosoe labda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwani music mpendwa
Kumbe bitoz ndio anaongoza kwa kuharibu majina ya watu humu ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..tena unasema ukweli kabisa, maana wewe ndo unanisapoti. Huyu anko ngoja arudi nimwambie Husna anamsapoti anapoenda kukimbiza ngedere
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kaka Ray tumekuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Ahahha wahenga walisema ngoja ngoja yaumiza matumbo [emoji3][emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
SawaUle ni utani tu na tulimwelekeza jinsi ya kutoa signature
Ila kama kakasirika na kuamua kusepa basi atusamehe ila tutaheshimu maamuzi yake binafsi
Wa kulaumiwa ni JF
.......
Naisubiria bure kwa mbududa matumizi yacio ya lazima simsumbui bae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama jj au baba jj akulipie elf 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chelsea oyeeee binamuMimi na anko wangu wote Chelsea, yaani leo tumempiga Arsenal 3 kwa taabu sana kama kwenda kununua Salama duka la dawa baridi