Muziki Wikenda: Tucheze Japo Kidogo
Muziki unakujia mapema leo, unajua ni kwanini? Nitakupa sababu mwisho maana kwanza ninahitaji kukusalimia kapuku mheshimika, unajua kabisa umuhimu wako hapa jukwaani ni wa kipekee bila kujali lolote linalosemwa kwenye majukwaa mengine. KF ni Jukwaa bora, halilinganishwi wala kushindanishwa maana lenyewe ni ushindi tu na si kushindwanisha. Asante kwa kuwepo hapa Jumamosi hii.
Vipi weekend inaendaje? yangu ilikuwa rahisi sana, a lazy day, nimeamka nikaenda jogging kidogo mchangani, then nikaungana na vijana kucheza soka baadaye maveterani sisi tukajumuika kunywa supu na bia baada ya mazoezi. Mazoezi huleta appetite, nikapitia magazeti ya shululu nikasoma habari za Hitler husna muba nikajisomea historia na mapicha Jimena na Bitoz baadaye nikajibu maswali ya Tumosa na aunt yangu Shunie ambaye Bitozi hummuita Shumie (hata mimi huniita One)😀. Nikaendelea kumsubiria mjomba lee empire arudi maana nilimuona Bailly5 online pamoja na Clkey na hapo hapa kwa mbali akaja Mkushi wa kusi akivuta ganja taratibu na si nikarudi tena beach huko akaonekana Manga ML
Baadaye nikaona isiwe taabu nikanoa kiingreza kwa kumtafuta shedede ambaye alikuwa anamtafuta Mondray aliyekuwa akimkimbiza demi mtaani kwa kina Nyagei kwenye spoti huku Chelsea hadi mapumziko keshampiga Arsenal 2 mtungi. Anyway isiwe tabu maana BlessedHope hayupo kaungana na kina mzeewakungoa Mndali ndanyelakakomu , QUIGLEY Transcend na Sakayo kuchukua mapumziko na tunawamiss hapa.
Muziki sasa, kuna miziki inachezeka jama uongo ukae mbali maana ni tangu unaisikia nyuzi ya kwanza hadi tumba unabaki kufurahia na kuutingisha mwili. Hebu tuburudike na muziki wa weekend wadau wa nguvu.
AiseeeWewe wasema kwangu ni kama mguno flan hivi labda masikio mabovu nipate mwenzangu anikosoe labda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka Ray tumekuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
OoohNipo hapa tangu nna myaka tisa tu ila si mtembezi ni hilo tu
Ewaaaaaa hapo sawaBasi siku zote nachapia
Sawa Shunie
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Santee Bitoz![]()
End
......
Simu ndo hubadilisha maneno automatically sasa nisipoyapitia nakuta kosa tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nilikua sijui jina unaloitwa na bitoz aisee bitoz usitufanyie hivyo tuite majina yetu jaman
binamu hii nyimbo mapenzi kitu gani umemuwekea mpendwa wako husna
SawaSimu ndo hubadilisha maneno automatically sasa nisipoyapitia nakuta kosa tayari
Mfano Obe "b" imebadilishwa na kusomeka One
Shunie 'n" imebadilishwa na kuwa Shumie
Sio kwamba napenda kuyaharibu majina yenu
.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo najua leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Pesa kitu kingine kabisaHawa psg wamekusudia asee ile pesa si ya kitoto Barca wauze tu maisha yataendelea
Aisee anapenda sana, hapo naona alikuwa lushoto na Lee![]()
Shumie kwa kupenda baiskeli
Lee lazima akonde
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Simu ndo hubadilisha maneno automatically sasa nisipoyapitia nakuta kosa tayari
Mfano Obe "b" imebadilishwa na kusomeka One
Shunie 'n" imebadilishwa na kuwa Shumie
Sio kwamba napenda kuyaharibu majina yenu
.....
Hataki kujulikana kama mwanaume wa dar [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani we manga we ni wa mkoani mbona kila sehemu hujui jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nilikua sijui jina unaloitwa na bitoz aisee bitoz usitufanyie hivyo tuite majina yetu jaman
binamu hii nyimbo mapenzi kitu gani umemuwekea mpendwa wako husna