Makapuku Forum

Leo katika Historia

2003 - Qusay Hussein anauwawa.
Huyu pia ni mtoto mwingine wa Saddam Hussein.
Aliuwawa pamoja na ndugu yake Uday katika mapambano yaliyochukua takribani masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq.

Ndogo wake Uday
Alikuwa na umri wa miaka 37
Video kwenye post ya Uday imeeleza kila kitu
.......
 
Habari zenu bandugu
Natumai mko poa km kawaida huwa naanziaga nilipoishiaaa
Hakuna mapost mengi
Yaani tambarareeee
Lee ana majukumu yamembana pia wengi wapo bize kutafuta mawe
Hakuna Sakayo
Hakuna Lee
T anaingia kwa kusuasua
Tumusa nae kwa kuvizia
Nyagei hasomeki
Shumie ana mida yake
Mama Mchungaji sijui kapatwa na mini
Mukongo nasikia kapata mzungu kwenda Ulaya
Shedele labda katekwa na mtu yule
Mzee wa kungoa labda keshangoa demu humu now kapotea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivyo wiki hii ni ya ubize
......
 
Huyo hakutua na ungo
Mchawi gani anawanga mchana ,nguo anaweka pembeni halafu wanatumia smartphone
Atakuwa alifanya tu kituko ili atimize masharti ya mganga
Siku nyingine mganga amwambie aje kitaani kwetu atembee uchi na sisi tufaidi kama watu wa Ukonga Uwanja wa ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…