Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ukimwambia mambo ya mazoezi mnagombana sijui huko kwenye maperemende wanakipenda kitambi chakeKumbe hapendi mazoezi
Ukimwambia mambo ya mazoezi mnagombana sijui huko kwenye maperemende wanakipenda kitambi chakeKumbe hapendi mazoezi
Ila ana kidumu [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimyime ili atoke nje hapana aisee huo ushauri big no
Ahhahah hata kwenye kimeo chako imekataa kuplay
Kidumu kwa mwanaume rijali hakikosekaniki ujue shemelaIla ana kidumu [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tunataka majina ya watoto sie[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Video imekataa kuplay
Asante Lee kwa somo zuri
Swali langu je Y inahitaji style gani?
Ukimwambia mambo ya mazoezi mnagombana sijui huko kwenye maperemende wanakipenda kitambi chake
Mwanamke kugangamalaKila mtu apambane na hali yake akiwa kwangu ni wa kwangu tu mimi shunie
Itakuwa ndo style ya y hyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwangu imekataaVideo inaplay....
Style zipo nyingi muhimu ...mojawapo ile ya mbwa aka dog style
Ahahah shemela umeanza uchochezi wakoMwanamke kugangamala
Itakuwa ndo style ya y hyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuja unipeleke kwa mama ashura jamaan...usiwe unalala tu kigogo, tafuta mbinu za kimachinga mtwara utamrusharusha hatahitaji mazoezi wewe utakuwa mazoezi tosha. sio unajisomea na gazeti kabisa
Za usiku shemela wanguShemela wangu mimi apa peke yangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unanitafuta, au wewe ndo ulimshauri anko aninunulie hiki kimeo! Maana isingekuwa ushauri wako ungekuta anko wangu kaninunulia nexus 6
Kulwa na DottoNimewaona shemela majina jaman
Hayo sio majina shemelaKulwa na Dotto
Salama shemela nilikumiss tuZa usiku shemela wangu
Aisee una maswaliHao watoto ni jinsia gani mke mwee