Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Shemela wangu mimi apa peke yanguSheeemeeelaaa waaanguuu
Shemela wangu mimi apa peke yanguSheeemeeelaaa waaanguuu
Muziki: Ukiitwa Itika Hata Kama Huji
Kesho ni Ijumaaa, TG! Nimeamua nikujulishe tu kapuku mheshimika maana wengine kalenda hamna na mnategemea kalenda za simu, siku ikiisha chaji huioni siku wala kujua uko kwenye siku ya hatari au vipi. Kuna zile kalenda za kuweka ukutana, ndiyo, wall calendar zile za klabu ya Simba, zinapendeza sana ndani. Ninakusalimia sasa baada ya kuwa nimekukumbusha kununua kalenda na kwa kuwa mwaka tushaugawa kati, zimepungua bei.
Unataka niseme ni juu yako kapuku mheshimika shedede , shululu ,lee empire , Shunie ,husna muba , Tumosa Nyagei , Mondray , demi , Mkushi wa kusi , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu ,Madame S ,Bitoz , Bailly5 ,dumejeuri ,dingimtoto ,Clkey ,Sakayo , Transcend , BlessedHope ,QUIGLEY , Jimena , koncho77 ,werrason na wengine wengi ambao uwepo wenu humu hulifanya jukwaa hili kuwa special. Not only that you guys are awesome, you are exceptional and you know it. Asanteni sana, nimewaita tu na hakuna nilichowaitia maana usawa huu ishieni kusema asante maana mnanifanya nipapende hapa.
Muziki sasa, ukiachana na sisi wazee wa bakulutu, mwanamuziki solo ambaye anajulikana maeneno mengi Tanzania basi Komandoo Jide anaweza kuwa anajulikana zaidi. Lady JayDee ana sauti nzuri jamani, ile inayosemwaga inamtoa nyoka pangoni haifikii maana nyoka wengine wanakaa mtini ukipita tu anakugonga. Utafurahi kumuona akiperform na bendi yake live.
Asante husna muba kwa chaguo hili.
Nimewaona shemela majina jamanUmewaona lakini
KumbeeeeeVideo inaplay....
Style zipo nyingi muhimu ...mojawapo ile ya mbwa aka dog style
Hamna ubaya wowoteYule ni mpendwa wangu kuna ubaya gn nikimpokekea salam zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu mfyuuuu zakoyaani unampa na bado anatoka nje, siku ukijidanganya ukamnyima si ndo atatoka nje ya nchi kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]...wewe tena, habari zangu mbaya unajisikia kupika pilau.
Miss you BTW
Mm nimeagiza pen nikuandike kabisaa...nikuweke kwenye list ya watu wanaonitafutia ugonjwa wa moyo au kichomi?
Weee muacheee.....
Ndo maana husna wake anachepuka ba bitoz
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Haaaaahaaaa
...nikuweke kwenye list ya watu wanaonitafutia ugonjwa wa moyo au kichomi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nikuweke kwenye list ya watu wanaonitafutia ugonjwa wa moyo au kichomi?
Love u moreeeee hunnie [emoji8][emoji8]Love u
SawaHahAaa mfa majii
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi umejua kwa nini binamu kacheka nimecheka sana
Tangu lini tunaweka successful mbinu hadharani au unajaibishaa kwa vitendo kwanguwewe ni mjomba wangu kabisa, tena ni mshauri wangu, vipi tena anko, au kuna mtu anatuchonganisha maana kuna watu wakisikia wewe muzee ya peremende wanadhani una kiwanda cha pipi
Kila mtu apambane na hali yake akiwa kwangu ni wa kwangu tu mimi shunie
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi kuna wanaopenda mahb muhenga mie nishajiezekea baba d wangu ananitosha sana na sura yake ngumu ya kiume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu niache jamannini kimewachekesha nyie mume na muke? mnanicheka kwani nimevaa nyanyapensi?
NashukuruNimezihurumia , ndo maana sijaweka picha