Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Nimuulize binamu wa nini shemela na baba d hapendi hata kuziona
...hapendi? Sasa kwa cheusi amegandia Nini? Maana CM kni chapa ya Masasi
Nimuulize binamu wa nini shemela na baba d hapendi hata kuziona
Binamu niache jamaan kwangu hapendi jmaan acha tu huyo cheusi mangala avae yeye...hapendi? Sasa kwa cheusi amegandia Nini? Maana CM kni chapa ya Masasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] wa kuchora aisee haya shemela
Nimemjibu tayari
Acha izo bhana mbona unakua jeur na ww?mi Niko pouwa hofu kwako kibonge mwepes!shikamoo dumejeuri mzima lakini
Kumbe shikamoo hutaki mambo vipi dume jeuriAcha izo bhana mbona unakua jeur na ww?mi Niko pouwa hofu kwako kibonge mwepes!
Shukree na kwako pia kesho nayo cku kwa uweza wa manani!usiku mwema hapa ndani
Bd kdg mkuu!Nyote mmelala humuu
Sio ctaki wee unazingua![emoji16][emoji16]Kumbe shikamoo hutaki mambo vipi dume jeuri
...mimi nimelala! Hapa naota tu
Ooh kumbe basi acha niendelee kumpa shikamoo binamu yangu obe tu mana ye anaipenda sana hii salamSio ctaki wee unazingua![emoji16][emoji16]
Mambo mzuka mishe VP?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mimi nimelala! Hapa naota tu
Ooh kumbe basi acha niendelee kumpa shikamoo binamu yangu obe tu mana ye anaipenda sana hii salam
Sasa si utakuwa umejiua mwenyewe? Maisha matamu hivi unaanzaje kujiua?Nikinywa sumu na madafu nikafa ajili yako utajua cha kujibi kwa mama Ray..
Good morning sweetie..kazi njema.Wakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Kuna emergency imenitokea mapema sitoweza kuweka UF ..simulizi na dondoo...
Tutakuwa wote baada ya masaa 8