Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Uliishi mitaa gani?
Mm nilikua nikiwaona nakimbia kama Hamorapa, Weka picha yako mwenyewe..
ha hahahahhaha, majengo mtaani, hiyo kwenye avatar ni mimi nimejichora
Uliishi mitaa gani?
Mm nilikua nikiwaona nakimbia kama Hamorapa, Weka picha yako mwenyewe..
Hajambo kulwa hako keusi keusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kulwa yupii na dotto yupi hapo msalimie shemela wangu jaman nimemmiss tu
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Nilijuaaa
Hao watoto ni jinsia gani mke mweeNashukuru
Nawe pia mvuvi wa kambalePamoja sana wadau
Ngoja nilale mapema maana kuna mechi alfajiri
Man Utd v Man City
Saa 10: 30
Alfajiri
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Kweliiii mke mwee mambo ya kupenda mahb haya mwisho wa siku unakuja kushangaa wote wanawake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Video inaplay....
Style zipo nyingi muhimu ...mojawapo ile ya mbwa aka dog style
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatisha ujue baba d na kitambi chako ebu fanya mazoezi ujue tabu unanipa mie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo ndo napokupendea aunt yangu. yaani wewe na anko mnaendana kama bia na mishkaki.
yaani sio kama B na H hawaendani kabisa kama soda na mishkaki
Kumbe hapendi mazoeziAhahhhh kinachosha lakini sikipendi nagombana nae sana kuhusu kufanyq mazoezi
Haiplay baba dVideo inaplay....
Style zipo nyingi muhimu ...mojawapo ile ya mbwa aka dog style
Ahhahah hata kwenye kimeo chako imekataa kuplayHii video iangalie tena anko, hata kwangu imekataa, kama uliisave i-unsave then uiattach bila kuilike, inaweza kuwa sababu. Binafsi nimecopy title yake na kuisearch ndo imecheza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aisee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nisipajue tena hapo mimi, najua hata ile kona wanayosimama wale waarabu mabonge, opossite kuna kina mama ntilie
Ukiwa unaelekea kusini kuna ile bar inapiga muziki, unataka niseme nini kingine mdau.
Kuhusu umri, mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee
Nguzo nane kuelekea mwaseleNisipajue tena hapo mimi, najua hata ile kona wanayosimama wale waarabu mabonge, opossite kuna kina mama ntilie
Ukiwa unaelekea kusini kuna ile bar inapiga muziki, unataka niseme nini kingine mdau.
Kuhusu umri, mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee
Ni jinsia gani mke mwee wa kike wote au kiume na wa kikeHajambo kulwa hako keusi keusi
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Waaaachee maujingaa yao ., kwani hayo ni majina ??
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Mpira huwa nafuatilia mechi za Man Utd tu na kidogo Yanga
Usijali mpira ukiisha nitawaletea matokeo na video ya magoli
Tukutane kesho mdau
......