Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila obee wewe hua nakugikiria sijui kijana au mzee maana unavituko kinouma..

Hivi unapajua BAKURUTU YA SHINYANGA?

Nisipajue tena hapo mimi, najua hata ile kona wanayosimama wale waarabu mabonge, opossite kuna kina mama ntilie

Ukiwa unaelekea kusini kuna ile bar inapiga muziki, unataka niseme nini kingine mdau.

Kuhusu umri, mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee
 
Ujumbe wa Wadhamini wetu

Baada ya kuwa tumeburudika na mambo kadha wa kadha hapa ndani basi wadau hebu tupate ujumbe toka studio ukidhaminiwa na Sakayo na mnaalum kwa Transcend
(jamani limbwata lisikieni kwa jirani tu-)
Maneno hayo bolded sijaandika mimi

binamu acha uchochezi
Binamu asante sana sana dada yangu anafurahi sana T ukuje jamaan shem lake mkeo amekuchagulia nyimbo
 
Anhaaaa mm nilikua ninaishi pale kwenye ghorofa linalo angaliana na hiyo baa chini kuna maduka ya nguo..

Weka picha tuone au unaogopa kutekwa na sisi..
Nisipajue tena hapo mimi, najua hata ile kona wanayosimama wale waarabu mabonge, opossite kuna kina mama ntilie

Ukiwa unaelekea kusini kuna ile bar inapiga muziki, unataka niseme nini kingine mdau.

Kuhusu umri, mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee
 
Ujumbe wa Wadhamini wetu

Baada ya kuwa tumeburudika na mambo kadha wa kadha hapa ndani basi wadau hebu tupate ujumbe toka studio ukidhaminiwa na Sakayo na mnaalum kwa Transcend
(jamani limbwata lisikieni kwa jirani tu-)
Maneno hayo bolded sijaandika mimi

Kwelii sikia kwa jiraniii

Ila kumbuka mama Doto aka zungu alichokufanya enzii zile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom