Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,002
- 150,528
Najuaa mamanakupenda baba d si unajua nikiandika kuhusu wewe siwezi maliza

Muziki: Ukiitwa Itika Hata Kama Huji
Kesho ni Ijumaaa, TG! Nimeamua nikujulishe tu kapuku mheshimika maana wengine kalenda hamna na mnategemea kalenda za simu, siku ikiisha chaji huioni siku wala kujua uko kwenye siku ya hatari au vipi. Kuna zile kalenda za kuweka ukutana, ndiyo, wall calendar zile za klabu ya Simba, zinapendeza sana ndani. Ninakusalimia sasa baada ya kuwa nimekukumbusha kununua kalenda na kwa kuwa mwaka tushaugawa kati, zimepungua bei.
Unataka niseme ni juu yako kapuku mheshimika shedede , shululu ,lee empire , Shunie ,husna muba , Tumosa Nyagei , Mondray , demi , Mkushi wa kusi , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu ,Madame S ,Bitoz , Bailly5 ,dumejeuri ,dingimtoto ,Clkey ,Sakayo , Transcend , BlessedHope ,QUIGLEY , Jimena , koncho77 ,werrason na wengine wengi ambao uwepo wenu humu hulifanya jukwaa hili kuwa special. Not only that you guys are awesome, you are exceptional and you know it. Asanteni sana, nimewaita tu na hakuna nilichowaitia maana usawa huu ishieni kusema asante maana mnanifanya nipapende hapa.
Muziki sasa, ukiachana na sisi wazee wa bakulutu, mwanamuziki solo ambaye anajulikana maeneno mengi Tanzania basi Komandoo Jide anaweza kuwa anajulikana zaidi. Lady JayDee ana sauti nzuri jamani, ile inayosemwaga inamtoa nyoka pangoni haifikii maana nyoka wengine wanakaa mtini ukipita tu anakugonga. Utafurahi kumuona akiperform na bendi yake live.
Asante husna muba kwa chaguo hili.
NilijuaaaKho kho kho
NitagMajina mkwe mwee jamaan
Huyo wa kike kwa asilimia kubwaBabaa nikiduu tarehe 18 naweza kupata yupi?
Hivi kuna wanaopenda mahb muhenga mie nishajiezekea baba d wangu ananitosha sana na sura yake ngumu ya kiume
Ukifurahi wewe hakuna cha kunifanya nisilale usingizi mnono. Kila nikikuangalia machoni najihisi niko paradiso, nikiutizama moyo wangu najihis niko jehanamu naungulia mapenzi yako

Kwa heshima yako kesho niweke kipenziBaba D asante sana siku ukiweka kupata mtoto wa kike naomba uniite
Duuu
Asante na wewe mdau
Assnte mdauuu ....
Pamoja sana wadauAsanteeee
Mmmmmmh wewe ndo wa kwanza...Muzee ya warembo wengiiii
Nilijuaaa

unatisha ujue baba d na kitambi chako ebu fanya mazoezi ujue tabu unanipa mie
Eti kulwa na dotto ndio majina yaoNitag
Viserengetiii nshakukatazaa mazoea navyoMarahaba za wewe mondray ebu tuwekee avatar yote full ndio nini kucrop sura mtu umepiga bling bling za maana
Huyo wa kike kwa asilimia kubwa
Ahahhhh kinachosha lakini sikipendi nagombana nae sana kuhusu kufanyq mazoeziHAhaaa sikipatii picha kitambi cha mzee wa ngedere unavyokipetipeti, Na misharubu yake kama Carl peters
Viserengetiii nshakukatazaa mazoea navyo