Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,031
- 108,608
Ila demi hanitakii
Ni kweliiii
Ni kweliiii
Muziki: Ukiitwa Itika Hata Kama Huji
Kesho ni Ijumaaa, TG! Nimeamua nikujulishe tu kapuku mheshimika maana wengine kalenda hamna na mnategemea kalenda za simu, siku ikiisha chaji huioni siku wala kujua uko kwenye siku ya hatari au vipi. Kuna zile kalenda za kuweka ukutana, ndiyo, wall calendar zile za klabu ya Simba, zinapendeza sana ndani. Ninakusalimia sasa baada ya kuwa nimekukumbusha kununua kalenda na kwa kuwa mwaka tushaugawa kati, zimepungua bei.
Unataka niseme ni juu yako kapuku mheshimika shedede , shululu ,lee empire , Shunie ,husna muba , Tumosa Nyagei , Mondray , demi , Mkushi wa kusi , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu ,Madame S ,Bitoz , Bailly5 ,dumejeuri ,dingimtoto ,Clkey ,Sakayo , Transcend , BlessedHope ,QUIGLEY , Jimena , koncho77 ,werrason na wengine wengi ambao uwepo wenu humu hulifanya jukwaa hili kuwa special. Not only that you guys are awesome, you are exceptional and you know it. Asanteni sana, nimewaita tu na hakuna nilichowaitia maana usawa huu ishieni kusema asante maana mnanifanya nipapende hapa.
Muziki sasa, ukiachana na sisi wazee wa bakulutu, mwanamuziki solo ambaye anajulikana maeneno mengi Tanzania basi Komandoo Jide anaweza kuwa anajulikana zaidi. Lady JayDee ana sauti nzuri jamani, ile inayosemwaga inamtoa nyoka pangoni haifikii maana nyoka wengine wanakaa mtini ukipita tu anakugonga. Utafurahi kumuona akiperform na bendi yake live.
Asante husna muba kwa chaguo hili.
Hcho kitakuwa kimakondeKuwalomba hapo mana yake binamu
Hakuna ubaya jamaan lakini ni wa binamuYule ni mpendwa wangu kuna ubaya gn nikimpokekea salam zake
Hivi kuna wanaopenda mahb muhenga mie nishajiezekea baba d wangu ananitosha sana na sura yake ngumu ya kiumeAaah wewe nilivyo HB nitakomba maduu wote wa humu ibaki bifuu na mabroi
...wewe tena, habari zangu mbaya unajisikia kupika pilau.
Miss you BTW

binamu nilikumiss ujue hivi baba d hajakupa salaam zangu
Aiseee![]()
![]()
hiyo hiyooo pigia msitari tu
Muziki: Ukiitwa Itika Hata Kama Huji
Kesho ni Ijumaaa, TG! Nimeamua nikujulishe tu kapuku mheshimika maana wengine kalenda hamna na mnategemea kalenda za simu, siku ikiisha chaji huioni siku wala kujua uko kwenye siku ya hatari au vipi. Kuna zile kalenda za kuweka ukutana, ndiyo, wall calendar zile za klabu ya Simba, zinapendeza sana ndani. Ninakusalimia sasa baada ya kuwa nimekukumbusha kununua kalenda na kwa kuwa mwaka tushaugawa kati, zimepungua bei.
Unataka niseme ni juu yako kapuku mheshimika shedede , shululu ,lee empire , Shunie ,husna muba , Tumosa Nyagei , Mondray , demi , Mkushi wa kusi , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu ,Madame S ,Bitoz , Bailly5 ,dumejeuri ,dingimtoto ,Clkey ,Sakayo , Transcend , BlessedHope ,QUIGLEY , Jimena , koncho77 ,werrason na wengine wengi ambao uwepo wenu humu hulifanya jukwaa hili kuwa special. Not only that you guys are awesome, you are exceptional and you know it. Asanteni sana, nimewaita tu na hakuna nilichowaitia maana usawa huu ishieni kusema asante maana mnanifanya nipapende hapa.
Muziki sasa, ukiachana na sisi wazee wa bakulutu, mwanamuziki solo ambaye anajulikana maeneno mengi Tanzania basi Komandoo Jide anaweza kuwa anajulikana zaidi. Lady JayDee ana sauti nzuri jamani, ile inayosemwaga inamtoa nyoka pangoni haifikii maana nyoka wengine wanakaa mtini ukipita tu anakugonga. Utafurahi kumuona akiperform na bendi yake live.
Asante husna muba kwa chaguo hili.

Binamu ujue kila siku anko wanko namuona mpya jaman siwezi maliza kuongea kuhusu yeye siwezi malizammmmh, vowels ziko 20 na consonants ziko 24 sasa utashindwaje kumaliza jumla ya 44 tu. au unataka kumfanya mjomba wangu achanganyikiwe
AmekusikiaaaWhitney Houston... I always love you... Kwa T wangu... Please Mwambie Obe anivumilie tuuu mpaka nirudi Nitakuwa namdedicate T
Binamu obeee ujumbe wa sakayo huo kwenda kwa mumewe T
Mmh au ndio mambo naomba uniroge...oh, syllabic error, kuwalomba nilitaka kumaanisha kuwa nao sambamba (kwa sauti ya king kiki)
Kulwa na dotto

kulwa yupii na dotto yupi hapo msalimie shemela wangu jaman nimemmiss tu
Na we usimtake mapenzi hayalazimishwi tafuta wa kukutakaIla demi hanitakii
Sawa mbona umeitikia kwa ukali mpendwa wa binamuAmekusikiaaa
Na ukufikie wewe ujue binamu mpendwa wake husna
Asante mpendwa/mpenzi Wa Mimi
Nimefurahuiii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mpendwa wa binamu eti hiyo nyimbo imfikie naniiiiUsiniambie 😀
Akisema ndiyo , najitag