Hujaelewa
Bawasema Madrid na Man Utd
Wamegundua Man Utd msimu huu ikiimarika kwa kuwapa wachezaji basi UEFA upinzani utaongezeka dhidi yao
Nafikiri pia wanatukomoa kwa kuwabania De Gea....sasa sitegemei kama kuna mchezaji wa Man Utd ataenda Madrid miaka ya Karibuni
.......