Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
KugombanaaWaje kufanya nin
KugombanaaWaje kufanya nin
Ohoooo sio vizuri hivyo ujueeMnabanjuanaa kisiriii nyiee
Jifikiriee nikimaliza kuongea ma wapiga kura wangu tujadiliSurprise![]()
Hadi nashindwa nichague kipi
Surprise![]()
Hadi nashindwa nichague kipi
![]()
Storage MB 4 tu
Instillatation km MB 1 tu
Speed ipo juu
Hivyo haimalizi chaji wala nafasi
....

Asante kwa hiiNUKUU YA LEO.
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of.
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha.
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
![]()
![]()
![]()
Hii nilishaitoa siku za nyuma ila nimeileta kwa hisani ya historia ya leo.
Leo ndio siku aliyofariki..
Cc Bitoz na Jimena
TOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo vingi
Karibuni
......
Unataka kuwa spare tyre?Demi mond akupenda jamani mkubalie
Mwambie ashushe movie Review kwa vipicha..pia aweke vitom jerry
Mkubalieeee disembaa tuende kigoma ukanenepe kwa migebuka na malumbu
Cc.mondray
KaribuTOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo vingi
Karibuni
......
Mi fan Wa simba tuMimi siyo fan wa Madrid
Ila siwapendi Barca tu
....
Unataka kuwa spare tyre?