Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hujaelewa
Bawasema Madrid na Man Utd
[emoji117] Wamegundua Man Utd msimu huu ikiimarika kwa kuwapa wachezaji basi UEFA upinzani utaongezeka dhidi yao
[emoji117] Nafikiri pia wanatukomoa kwa kuwabania De Gea....sasa sitegemei kama kuna mchezaji wa Man Utd ataenda Madrid miaka ya Karibuni
.......
Sasa mimi ambae nashabikia timu hizi zote mbili sina hata la kusema zaidi ya[emoji116]

G G M U

Halla Madrid
 
Back
Top Bottom