Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tulipokutana ulisema Baby We Like You
Badala ya Baby I Love You
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Nikikukamaaaataaaa

Tulipokutana ulisema Baby We Like You
Badala ya Baby I Love You
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....

Asantee ngoja binamu arudiiikumbe upo?!
![]()
![]()
![]()
![]()
haha! kiinglishi hiki tabu kweliTulipokutana ulisema Baby We Like You
Badala ya Baby I Love You
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Siaminiii kama ni yeyelee empire hebu msikie huyu
Alidai mimi ni aunt yake kumbe hapendi penzi letu. Siachiki ng'ooAsante
Labda wamehack account yakeSiaminiii kama ni yeye
Jela ya simu ukipika unachati tu ukila unachati wale ndugu zangu waislam wengine mpaka wanasahau swali it painful![]()
End
.....
upofu wa smartfoni, mtu yupo bize na jf hayupo makini barabarani
Ohoooo simu zimetuchukua jamaa anashangaa atacheza na nani kila MTU yuko bize na simu
Mbona husemi maana yake lakini?!Shuuuuubaaaaaaaamiiiiiiiitiiiiii
Hii cjaelewa
Aaaa anti ulininukuu vibayaa mi siwezi kukuachanisha na anko wangu aseeHusna anataka nikuache. Nashagaa tu hapa
Utaaelewaaa baadae ngoja kivuruge wako ajeeMbona husemi maana yake lakini?!
Impacts of technology. ..vitoto malezi yao yamekaa kidigital....
Umeniambia "achika" . seriously?Aaaa anti ulininukuu vibayaa mi siwezi kukuachanisha na anko wangu asee
Nimesikitikaa sanaaAlidai mimi ni aunt yake kumbe hapendi penzi letu. Siachiki ng'oo
MTU mzizi
Hata mimiNimesikitikaa sanaa