Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Nahitaji kuliona jeneza la changudoaUJUE ULIMWENGU
Nchini Nigeria majeneza hutengenezwa kwa mujibu wa kazi aliyokuwa akiifanya muhuusika wakati wa uhai wake.
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Nahitaji kuliona jeneza la changudoaUJUE ULIMWENGU
Nchini Nigeria majeneza hutengenezwa kwa mujibu wa kazi aliyokuwa akiifanya muhuusika wakati wa uhai wake.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hayo maneno yana maana kubwaNUKUU YA LEO.
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of.
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha.
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
![]()
![]()
![]()
Hii nilishaitoa siku za nyuma ila nimeileta kwa hisani ya historia ya leo.
Leo ndio siku aliyofariki..
Cc Bitoz na Jimena
Tuwe na mchana mwema ndugu....
Ila
Don't mess with Kansiime
Tetesi za usajili ...
Kwa udhamini mnono wa Morata soon tuone yanayoendeleaa ....
hope jamaa ashafika london...
Kumkomoa mtani
Umekosea mdau ...Kumbe hadi Ulaya kuna mambo ya Simba na Yanga
Kumkomoa mtani
......
Mimi ni bahaliUBAHILI HAUFAI
1. Na yule afanyae ubahili na kujifahamu kuwa yeye si muhitaji kwa yeyote, na kukadhibisha jambo jema, basi Tutamrahisishia kupata taabu. Na mali yake haitamfaa atakapoangamia. Quran (92:8-11).
2. Na aepushwae na ubahili wa nafsi yake, basi hao ndio wenye kufaulu. Quran (64:16).
Ya Allah Tuepushe na ubahili ktk nafsi zetu tupate kufaulu mbele Yako. Allahuma ameen.
Ww mwanamke unazinguabitoz na walinzi wake![]()
Ananichenga tu simuelewiNyagei njoo utujuze demi huyu hapa
HujaelewaUmekosea mdau ...
Chelsea ameeanza kumsaka Morata mapema kabla ya man u ....fuatilia vizuri tangu msimu uliopita
Wamegundua Man Utd msimu huu ikiimarika kwa kuwapa wachezaji basi UEFA upinzani utaongezeka dhidi yao
Nafikiri pia wanatukomoa kwa kuwabania De Gea....sasa sitegemei kama kuna mchezaji wa Man Utd ataenda Madrid miaka ya KaribuniWereeeeereeeeeeeeYap ni mm kuna tatizo?
Mond si anakupenda..
Kwani so ni anti yanguInakuhusuuuu??
WatajjjiiijuuuuaaYanga wapo kibaha hotel
Still unakosea ...man u walipeleka dau gani wakakataliwa ukiacha maneno ya magazeti ...Hujaelewa
Bawasema Madrid na Man Utd
Wamegundua Man Utd msimu huu ikiimarika kwa kuwapa wachezaji basi UEFA upinzani utaongezeka dhidi yao
Nafikiri pia wanatukomoa kwa kuwabania De Gea....sasa sitegemei kama kuna mchezaji wa Man Utd ataenda Madrid miaka ya Karibuni
.......