Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Sawa mChelseaStill unakosea ...man u walipeleka dau gani wakakataliwa ukiacha maneno ya magazeti ...
Morinho alimtaka kabinetii ikazenguaa ...
.....
Sawa mChelseaStill unakosea ...man u walipeleka dau gani wakakataliwa ukiacha maneno ya magazeti ...
Morinho alimtaka kabinetii ikazenguaa ...
Mkubalieeee disembaa tuende kigoma ukanenepe kwa migebuka na malumbuHakuna tatizo. Nyagei alisema subiri demi aje so sikujua ni nini
Kipaji hichoooSio mzima huyu
Nitaendelea kuwa na mashaka nae
.![]()
![]()
![]()
.....
Mimi si ank wako??Mkubalieeee disembaa tuende kigoma ukanenepe kwa migebuka na malumbu
Cc.mondray
Tulipokutana ulisema Baby We Like YouUmejuajeeee????!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Itikia aamen alaaaMimi ni bahali
Kaa mbali na mimi
![]()
![]()
![]()
.....
KashakimbiaaNyagei njoo utujuze demi huyu hapa
Ww mwanamke unazingua
Now nimegundua kwanini unashindia dera
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....
Taratibu antiAnanichenga tu simuelewi
Haya natulia. Akija aniiteTaratibu anti
I'm waitingLeo hakuna Did U Know
Ila nashusha Picture Code au tuseme tu vimichoro vilivyokaa kimafumbo kuhusu simu,teknolojia na mitandao ya kikamii
Kama ukielewa saidia kujuza wengine
...