Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Pole sanaMtandao ulikata tangu saa 11, mpaka nilipofika mbezi net ikarudi
Sasa ankali huniungishi hako kabishara??Asante ankali kwa historia bora kabisa
WeraaaaaaaaaHongera ankali kwa post ya 244444
Mkuu hiyo avatar inanipa majonziSiku njema kwako pia
Pamoja sana BitozAhsante mdau
Tukutane jioni
Nikutakie siku njema
....
Shukrani mkuu shululu wa TumosaView attachment 546358Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende aka totoz, siku njema
KaribuShukrani sana JJ
NimekaribiaKaribu
Jana sikuleta matokeo sababu ya michezo ya usiku mwingi hivyo nitaanza na matokeo ya jana kisha ratiba ya leo
Da kweli mdauWapo wengi waliowahi zaidi yake
Mfano Aaliyah,Kanumba na Amina Chifupa
....