Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Tuwaache wachonge tu sisi hatujali kuhusu wao.Yes my love![]()
Tunajali kuhusu sisi tu. Wewe na mimi tu mpenzi wangu
Tuwaache wachonge tu sisi hatujali kuhusu wao.Yes my love![]()
Nikuletee ndimu?Mimi namwambia akikataa atajua mwenyewe.
Hawa wana stress za kuachwa.Tuwaache wachonge tu sisi hatujali kuhusu wao.
Tunajali kuhusu sisi tu. Wewe na mimi tu mpenzi wangu
Karibu kwa show kubwa inayotisha mjini hapa.Nashukuru mungu kanipa uzima wa kutosha
Bila shaka.Nikuletee ndimu?
Karibu kwa show kubwa inayotisha mjini hapa.
Amina braza.Acha tu mkuu,haya maisha yana mambo mengi sana.
Ila natumai mwenyezi Mungu amenisamehe makosa yangu yote
Amina*
HahahaaaBila shaka.
Ila fikiria kabla ya kutenda.
Amfanyiaye ubaya jirani yake,basi utamrudia mwenyewe.
Amen!Amfanyiaye ubaya jirani yake,basi utamrudia mwenyewe.
Kumbuka kuna wengine hawalali maana wana shift za usiku.Wachonge tu. Usiku ukifika watalala.
Dedication kwaoHawa wana stress za kuachwa.
Hahahaa watalala mchanaKumbuka kuna wengine hawalali maana wana shift za usiku.
Huna ndoa hapo, jipange tu.Upo ndani ya moyo wake?
Dedication kwao
Khalid chokoraa-kuachwa![]()
Sisi tuendelee kupendana tu my love

Pamoja braza.