Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sawa mkuuNimeandika damu ndio inayomvutia hivyo hata kiganha kina damu ila yeye huvutiwa zaidi na harufu ya damu hivyo hata ukitaka kumkamata damu ni kama chambo
....
Sawa mkuuNimeandika damu ndio inayomvutia hivyo hata kiganha kina damu ila yeye huvutiwa zaidi na harufu ya damu hivyo hata ukitaka kumkamata damu ni kama chambo
....
Mjomba wako anataka kupewa talaka na nani binamu...,hakuna shida kati yetu, talaka nilikuwa naiongelea ya mjomba wangu anataka kupewa talaka. mimi penzi bado jipya sana yaani tunaitana honey na sweet , mara sugar , dearest na mengine kama hayo, tukianza kuitana majina yetu ya kuzaliwa ujue talaka inakaribia
Sijajua yupo wapi maana hata mimi ni kama wewe, mwanae Shunie ndio anajua
Nateseka hatari, ndoto za ajabu naziotaAhahha jitahidi shem nakuona unavyoteseka
Hahaha niliishia kucheka tu maana had ukumbuke umevaa koti si mchezoAisee huo sio ushauri
Yeah ninaye mpenziNinafurahi umekuja salama, vipi una mpenzi?
Taarifa: Hili swali sijauliza mimi, msije mkaanza maneno yenu ya kuniharibia masuala yangu muhimu. Sasa hivi niko mahakamani naapa kuwa sijauliza mimi
5/Hippo![]()
![]()
Kiuhalisia kiboko ni herbivorous yaani anakula majani kama ng'ombe tu ila mara kibao tu keshabambwa akijichana na kitoweo a.k.a nyama
Wanapatikana kwa wingi barani Afrika ambayo huotwapia River horse yaani farasi wa mtoni
Silaha yake kuu ni meno(jaw) na Mara kibao hujeruhi na kuua watu
.....
Ameen loveTubarikiwe wote mama
Madame S
...,hakuna shida kati yetu, talaka nilikuwa naiongelea ya mjomba wangu anataka kupewa talaka. mimi penzi bado jipya sana yaani tunaitana honey na sweet , mara sugar , dearest na mengine kama hayo, tukianza kuitana majina yetu ya kuzaliwa ujue talaka inakaribia

sawa bana nimekuelewa
NasubiriObe zhusha tu muziki
Napumzika kidogo zen nitamalizia
.......
Ahahhah au nimekosea mpenzi jamanshikamoo
Madame S
Oooh kumbe hatuchekani eeh?Sijajua yupo wapi maana hata mimi ni kama wewe, mwanae Shunie ndio anajua
Kutokana na kuwa na miguu mifupi kwenye matuta hawezi kukukimbiza kama kwenye tambarale5/Hippo![]()