Makapuku Forum

Hatari sana
 
Duh, hatari sana.

Japokuwa anko wangu alitembeaga na mama Said mpika chapati ambaye ni bonge kama tembo lakini hakupondwapondwa. Si eti anko?
 
Unajua anaenda wapi? Utalipuka roho wewe, huko anakoenda ni kwa teller , anaenda kuomba samahani kwa kumnunulia Brazilian wig badala ya shela eti waende bomani.

Nimekupa taarifa sema asante.
Bado unataka kumsindikiza?
Lakini kule tunashuuutiiii moviee...si nilikwambiaa dili la kuigiza kaole limetikiii

Wacha nifaidiiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…