Unajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa.
Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati
Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?