Mnyazi Mungu anasaidia na anaendelea kunipa fursa ya kuishi na kula mema ya nchi.Salama za wewe
Shida ni kwangu etiiii .....nitamtafuta week end hii masikini ila nilimwambia mie na yeye hatuna shida kabisa yaan awe na amani
Hongera kwa hilo Mkuu.Nzuriii mkuu
KaribuuHongera kwa hilo Mkuu.
AmeenMnyazi Mungu anasaidia na anaendelea kunipa fursa ya kuishi na kula mema ya nchi.
Wadhamini wa mchana ......baada ya kushushia lunch yako tusiulizane umekula nini wala wapiii ebhu nikusogezee huyu cheusi wangu .......yaaaaaah kansiime don't mess with her. ...enjoy
Ahahhah Baba DShida ni kwangu etiiii .....
Thanks.Karibuu
Nimeulizaa tuuAhahhah Baba D
Glory to God.Ameen
Huyu mdada huwa ananikoshaaaa....Cheusi wako mwenyewe
Hatuna tatizo jamaanNimeulizaa tuu
We sema kama ndo yale ya mkuu hamna kabayaHatuna tatizo jamaan
Oops
Silii tena mdogo wanguSakayo kuja hapa sitaki kuona unalia tena
Ameen stay blessedGlory to God.