Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Hivi Kuna ubaya Mie kuonana na wewe....Sasa jana kwa nini ulitaka kufanya ulichojaribu kufanya au ulikuwa unatest zaliiii
Halafu Mie nilikuwa Sina mpango wa kwenda kabisaa.... Ningetaka kwenda tusingechat jukwaani