Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ndio hivyoEtii bhasiiii tuu
Ndio hivyoEtii bhasiiii tuu
Kesi ipi tena jamaanMm sizipendiii hizi emojiii
Alafu umenipa kesii...kumbuka bro ulimwahid nn make lawama nimebeba mm
AbeeSakayo..
Sasa jana kwa nini ulitaka kufanya ulichojaribu kufanya au ulikuwa unatest zaliiiiHivi Mie simthamini T Kweli jamanii
Basi tumuache hasira zipungue yataisha niamini mimiKufanyaje sasa... Mie toka jana naomba msamaha na kasema yameisha sa leo ndo kaanza upyaa
Ahahaha dozi ya niniMbona yashaishaaa...mwambie aongezee doziiii
Ntasemajeee ...mm sina nenooo wafungulieeHapana nimefunga hapo nimemaanisha sakayo aende
Naapia.... Leo nilale njaaShululu atasema kwaniiiii .....
Ebhu apiaa
Hapana ni utani tu ule jamaan wa kapukuSasa jana kwa nini ulitaka kufanya ulichojaribu kufanya au ulikuwa unatest zaliiii
Hapana nimeweka akilini roho ya baba yake na uwezo wake wa kunyongaaNatamani kucheka ujue hivi una nini lakini au unajua sakayo ni robot
Kusoma phdKuchoka nini tena jamaan
Hamna shida... Fuata maneno na sio matendoHivi kumbe sakayo anakuwaga mpolee hivi
Ata mm naweza kumshauriii na akaufanyia kazi ushauri wangu ....![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo unataka nikushauri cha kufanyaa ....Hamna shida... Fuata maneno na sio matendo
MnajuanaKesi ipi tena jamaan
Mwambie ambembelezeeeT haelewi kitu amepanick
MachoziiAnaliaa nini thathaaaaa
Utanii kwenye mambo ya msingi??Hapana ni utani tu ule jamaan wa kapuku
Baba D pm yangu siwezi fungua kabisa jamaan hata itokee nini nilimaanisha sakayoNtasemajeee ...mm sina nenooo wafunguliee