Makapuku Forum

Nimesoma post ya #1 mpaka [HASHTAG]#360[/HASHTAG]
Baadae nitaendelea hadi nimalize,

Goooood Morning wakuu Muwe na siku njema .
 
Don't mess with kansiime....


kati ya comedian wanaojua wanachokifanya kwa East Africa huwezi kumuacha huyu dada kutoka kwa m7 ....yaaaa Uganda ..

Sio kwamba wa kwetu hawajui ila utofauti upo mkubwa sana kati yao na sisi ata Kenya wako vizuri....sijajua ni Lugha ndo inawasaidia au laaah....


Kiukweli kazi za huyu dada nazipenda kinomaaaa....sio mbaya na wew ukapoteza mawazo kidogo kwa huyu cheusi wangu ....eti wangu namaanisha kansiime.......

 
Wahenga walisema hakuna lennye mwanzo lisilo na mwisho. Tukutane tena kesho, shukrani kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA niite Jimena Jimenes


HASTA LA VISTA!!
Asante kwa leo katika historia ankali JJ
 
Aisee, sikujua kama hana mtoto
 
Beki wa Southampton Virgil van Dijk, 26, huenda bado akahamia Liverpool kwa pauni milioni 60 msimu huu. Mchezaji huyo amesisitiza anataka tu kwenda Liverpool. (Sun)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…