Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Karibu pachaaMorning all
Leo katika historia itawajia hivi punde tuu ikiwa leo basi ni kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA
Shukrani mdauMtu mmoja auawa nchini Venezuela wakati wa zoezi la upigaji kura ya maoni lisilo rasmi.
Zikiwa zimebakia wiki chache tu kufanyika Uchaguzi mkuu nchini Kenya, wanasiasa wanaowania nafasi ya Unaibu rais kupambanishwa leo katika mdahalo.
Mashirika ya Kiraia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yawataka raia kupinga makundi yanayowataka kuandamana.
Na Afrika Kusini wameibuka washindi wa jumla wa mashindano ya riadha kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 18 yaliyokamilika jumapili mjini Nairobi.
PleasureKaribu pachaa
Nakushangaa Unapenda uzee binti wewe wakati wenzio wanaukimbia.
Kama wabunge wanaolipwa mamilioni wanalia ukata
Sioni wa kumweka benchi YondaniMichezo na Burudani...kwa udhamini wa Mzeewakungoa ....
Huyo jamaa bora Scorpion angemroa roho tuUdaku kwa udhamini mnono wa Tumosa na timu yake ....
Kumbe na we unajirushaga
Mbona unakazia sana kudiscuss hizo nyonyo??!!
Mwenyewe katoka chicha hapo umuache na malapa yakee(kioo hakidanganyii)
We mwanamke hebu kasugue masufuria hukowatu mnawaza kunywa na kuhonga tu
MeWe ni ke au me?!
hili swali angeuliza leeWe ni ke au me?!
morning jimenaMorning all
Leo katika historia itawajia hivi punde tuu ikiwa leo basi ni kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA
Morningmorning jimena
Uchochezi tuuHivi Wolper si ananuka
Au dogo ni jasiri ?
......
dogo nae atakuwa ananuka kama beberuHivi Wolper si ananuka
Au dogo ni jasiri ?
......
Asantee auntAsante Lee kwa magazeti
anata kukuzika ukiwa hai..!Happy Birthday Jimena !
Anachonifanyiahuyu jamaa sio fair jamani...... Kisa cha kukazania kunipumzisha kwa amani hivyo???? Yani kama vile mi ndio niliekufa
Leo katika Historia
1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Mwanamama huyu ni kansela wa Ujerumani.