Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,279
- 35,642
Tangazo la Wadhamini:
Mapumziko haya yanaletwa kwenu kwa udhamini mnono wa shululu na Tumosa kwa ukaribu kabisa wa Shunie na anko lee empire , bila kuwasahau wadhamini Jimena na kagame, Transcend na Sakayo chini ya ufadhili wa husna muba na mimi.
Bila kuwasahau Nyagei na Linamo , demi na Mondray , mzeewakungoa na Clkey , Mndali ndanyelakakomu na Valentina , BlessedHope na werrason
NB: wadhamini wa para ya pili hawajamaliza kulipa pesa za udhamini
Asantee apa cheupe wangu atapata usingiz

AmewekaBinamu kama haipo ya ray c niwekee ya vee money mapenzi ya kisela
Binamu sikuelewiiiii naomba nyimbo ninazochagua kama hauna bundle nikutumie jaman
AiseeYeupe cheupe ni umbo, si ushasikiaga cheupe dawa? Dawa mara nyingi iko kwenye umbo, bonge au slim
PoyeBinamu jamaan video ya rayc ipo kabisa bora ingekuwa hamna jamaan
Binamu asante,wkend mood on fleek
Sio rafiki kipenziLakini wewe si una wawili... Hakuna ubaya kama Jirani yako atachukua mmoja ha ha ha ha ha.

Ha ahhahahahah, huyo aliyetengeneza hii kinywaji anahitaji tuzo ya Nobel.
Halafu wadhamini waliokuwa hawajamaliza hela za udhamini wameathiri bundle na Shunie kakawia kutuma muamala

Ha ha ha ha ha ha.... Basi bwana mimi nimezeeka siwezi ugomvi.Unaotaa au umetumwaa
Asantee apa cheupe wangu atapata usingiz
Nalala kabisaAsantee apa cheupe wangu atapata usingiz
Kumbe haujalala mke mwee ulienda kuweka kambi kwa tivuAsante steve kashaweka kaangalie
Usiku mwemaNalala kabisa