Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AiseeeeTukutane stand kama unaweza kuja au polis mess
AiseeeeTukutane stand kama unaweza kuja au polis mess
HamnaWana issue gani kwani hawa Shunie Mjukuu wangu
Hmm.... Sio kwa kutafutana hukoHamna
Basi siendiHmm.... Sio kwa kutafutana huko
Sema sasa kama unakujaAiseeee
Aah... We nenda tu bwana... Tusije tukaambiwa "nyinyi wazee noma sana"Basi siendi
Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Morning shemejiiii languuu pendwaaa mtalaka wa shedy ....![]()
![]()
Wewe utafukua makaburiii
Stand kabisaaSema sasa kama unakuja
AkuuuAah... We nenda tu bwana... Tusije tukaambiwa "nyinyi wazee noma sana"
Unavyonifanyia Mungu anakuonaSema uko wapiii sasaaa
NimewamisiKwema tu
NdiyoStand kabisaa
Zamani mtu anatembea kilometer 5 kwenda shule na anafauru vizuri tu, sasa hivi wanabebwa kwenye mabus, ukiwauliza kusini ni wapi utakavyojibiwa utachoka
Inahusu nini mkuuNita ku add kwa group, na nitakupa maelekezo hadi ufurahi, sio wewe tu na makapuku wengine.
28/7 kuna trainers toka kenya watatrain dar na Arusha ni 26/7. Washikaji wako poa sana
Nimefanyaje tenaUnavyonifanyia Mungu anakuona
Safi tu. karibuMmeshindaje makapuku wenzangu
MmmmhNdiyo