Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Umeelewa nini apo naona meno tu[emoji1] [emoji1]
Umeelewa nini apo naona meno tu[emoji1] [emoji1]
OK poa mlee shululu vizuri mwanaume ni km mtoto anataka malezi atiiNko poa mumie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuumbeeMuhenga Pedro [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeeee usinigombanishe na wenzangu hiyo tabia sinaHuyo ni mzee Wa kuchapia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana mii ni mwaka mara chache wewe unaweza maliza thread kwa emonji tu
Wapi?! Nishapasahau mieUmeelewa nini apo naona meno tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Weeeeee usinigombanishe na wenzangu hiyo tabia sina
Au taja mmoja tu niliemchapia
Umesomeka mamy hakuna namnaKila MTU apambane na hali yake
Pepo lipi tena jamaanUnahitajika ufunge na kuomba ili hilo pepo limuachilie
Toa maelezo acha kushika kichwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivi wanatutaka nini lakini jmaan[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio karud utotoni anajiandaa enda shule
Hongera sana kwake kachukua maamuzi magumu
Yeah ndio hivyoUmesomeka mamy hakuna namna
Nilimaanisha kuchapia yaani kukosea kutype maneno kwenye techno wereva yakooToa maelezo acha kushika kichwa
Na ss HV uko wp?!Nilikuwepo
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwema tuKwema
Saa nyingine akili zako zinatuliaHivi unajua kwamba mwanaume anayepitia bar au kwenye chomachoma akachukua nusu kuku akafunga kwenye mfuko akawahi nyumbani mapema ili ale yule kuku mdogo na mkewe na watoo wake wote ana akili, busara na hekima mara 1000 kuliko yule ambaye anapitia kwenye bar hiyohiyo na kuketi na kuchoma kuku watatu na mguu wambuzi ili ale na marafiki zake na akimaliza kushiba anabeua na kutoa pumzi safi na chafu huku akienda nyumbani kwa kuchelewa na tena akiwa mikono mitupu wakati huko nyumbani kwake wana mwezi hawajamnusa kuku. Sasa hapo ndipo utapingana na yule mhenga aliyesema "Akili ni nywele na kilamtu anazake" maana nahisi kunawengine wana upupu kichwani na sio akili #
Hii morning inaishia saa ngapi Shululu?Morning my love