Makapuku Forum

Makapuku Forum

Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie wanafunzi walete 1000 kila mmoja wao kwa ajili ya picha.. walimu wa madarasa wakawatangazia wanafunzi kuwa kila mmoja alete 1500 kwa ajili ya picha.. watoto wakasema kwa mama zao wao kuwa kuna kupiga picha na gharama ni 2000. Mama sasa kwa baba wa familia.. " Baby hizi shule za siku hizi kwa kupenda pesa.. kuna mchango wa picha 5000 mpenzi wangu mtolee mwanao apate kitambulisho.."

Asa namna hii wizi utaisha Tanzania ?
Unaanzaje kwisha sasa kwa mfano??
 
Tukutane baadae. ..ila kumbuka kuna wahenga wengine sio wa kuigwa ....

e878782da0775cf612f0eda3da05a6d6.jpg
Asante kwa tetesi za usajili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom